Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,374
Habari wadau,
Je ni mbinu zipi nitumie zitakazowatisha au kuwafanya nyoka wasikaribie nyumba yangu na uzio kwa ujumla.
Kwa wale wenzangu tuliojenga nje ya miji hili ni tatizo ambalo watakuwa washakumbana nalo.
Nisaidieni tafadhali
CC@Mshana Jr
CC@Mzizi Mkavu