Mkuu mimi nilimaliza mwaka ambao BRN inaanza 2013Jaribu bahati yako mkuu, udahili wa government una ushindani sana na inategemea na mwaka ila wewe unaweza kupata mana 2010 hio sio ma BRN wakizungua jitupie engineering kati ya Civil,mecha au Electrical
Wewe ni wa BRN ?Mkuu mimi nilimaliza mwaka ambao BRN inaanza 2013
AiseeewNdio nina dvsion 4 ya 32
OkNdio nina dvsion 4 ya 32
Hakuna kitu kama hicho .....Subiri mwakani apply afya kozi ya IT utakuwa muweka miziki kwenye simu
Wadau vigezo za certifcate au diploma ya IT vipoje?
Kiundani zaid Na ajira zakeKuijua kiajee kuwa specific
ICT educationkuna ICT kavu na Education in ICT sasa sijui unaongelea ipi..!!!