Maybe inawezekana wakawa wanafundisha hiyo course,lakini katika course wanazotoa Kcmuco haipo... Itakuwa ni a school iliyopo katika compound ya kcmc lakini chuo cha kcmuco haihusiani nayo.. Kama zilivyo diploma nyingi zipo hosted katika compound ya kcmc but hazipo under chuo cha kcmuco... So tafuta other means ya kuwapata