Kinjekitile Jr
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 422
- 1,156
Wakuu Poleni kwa muha hai ko ya hapa na pale kwa sababu ya kutafuta riziki ili nchi yetu pendwa iweze kusonga mbele
Wakuu samahanini!!!!!!
Kwa muda wa wiki kama tatu hivi nimekuwa nikisumbuliwa na Maumivu makali sana ya kichwa hasa upande wa kushoto mpaka machozi yananitoka na jicho la upande wa kushoto linakuwa halitazami vyema…….hali iliyo pelekea kwenda kwa daktari ila vipimo vikasema nina malaria
Nilipewa vidonge pamoja na kuchomwa sindano Iakini hali imekuwa mbaya zaidi kwani Maumivu yakianza,yanaweza kukaa sio chini ya masaa 2 tena Maumivu makali kweli kweli.
Kwa mwenye uelewa wowote ninaomba anisaidie kwa hali hii na mungu wa mbinguni awatie nguvu na muwe na maisha mema popote mlipo
~Udsm student