Neema j swai
Senior Member
- Mar 27, 2017
- 177
- 103
- Thread starter
- #21
Ni Dawa gan tupo DodomaMko wapi niwaletee dawa kesho asubuhi?
Ni Dawa gan tupo DodomaMko wapi niwaletee dawa kesho asubuhi?
mkuu huwa tunaanzia hospital kwanza, labda kama hakuna hospital huko uliko.Habar zenu wapenz? Dada yang ana tatzo anasema toka wk iliyopta anaskia maumivu makali kwenye mishipa ya mikono cjui misuli had kweny viganja inavuta na wakat wa ucku anaskia anaishiwa nguvu mikonon had mikono inakakamaa anashndwa kushka ktu au kuugeuza wakat mwingne anasema pia miguun anaishiwa nguvu na anapata maumivu makal ya misuli, tunaomba ushaur kwa anayejua ili apate mwanga wa tatzo ili akienda hospital ajue anaanzia wap
Ntakutumia picha.. Niko mbali.Ni Dawa gan tupo Dodoma
PouwaNtakutumia picha.. Niko mbali.
Hospital ameenda kawaelezea wakampima tu presha na sukar hana hawajampima kingne, Electrolyte imbalance ndoinakuwajemkuu huwa tunaanzia hospital kwanza, labda kama hakuna hospital huko uliko.
But yaweza kuwa electrolyte imbalance, au upungufu wa vitamin B6, au ikawa damu haipiti vizuri kwenye mishipa hapo...
dada yangu kama si mdau wa field ya afya itakuwa ngumu kunielewa, labda kwa kufupi japo nitachanganya na kiingereza kidogo ni hivi:Hospital ameenda kawaelezea wakampima tu presha na sukar hana hawajampima kingne, Electrolyte imbalance ndoinakuwaje
Wacha maelezo mengi we toa tiba hapadada yangu kama si mdau wa field ya afya itakuwa ngumu kunielewa, labda kwa kufupi japo nitachanganya na kiingereza kidogo ni hivi:
ndani ya miili yetu vitu mbalimbali huwa vinasafirishwa toka sehemu moja ya mwili kwenda nyingine across a certain barrier, mfano nutrients kutoka kwenye utumbo na kuingia kwenye mishipa ya damu au kutoka kwenye mishipa ya damu kuingia kwenye seli nyingine za mwili, hapa kuwa zimahitajika electrolytes, kulingana na aina ya kazi na kuingo husika, electrolytes kama Sodium(Na), Calcium( Ca), Potassium(K), na nyinginezo hufanya kazi hizi, na huwa zipo katika kiwango fulani...ambapo zikizidi sana ni tatizo na pia zikipingua sana ni tatizo maana zitapelekea kazi hizo kufanyika ndivyo sivyo.
Sasa hiyo kuzidi au kupungua sana ndio imaitwa electrolytes imbalance.
Aina fulani ya electrolyte inaweza kupingua kwa kupitia njia mbalimbali mfano kwa mtu kutokuwa vyakula vya kumuwezesha kupata hizo electrolytes, au kutapika, kuharisha, pia kwa njia ya mkojo, jasho nk.
Nadhani hapo inatosha japo ni kwa juu juu sana
nadhani nashughulika na kilichoulizwa na muuliza swali, nimemjibu si unavyotaka wewe.Wacha maelezo mengi we toa tiba hapa
Oya bhagasi naomba ya huyo JAMAAA aiseee wa misuliTatizo hapo ni misuli mkuu njoo pm kama hutojali nikupe namba za jamaa mmoja alisomea mambo ya misuli tu huko Canada amesaidia watu wengi sana.
Naomba namba ya huyo jamaa aisee wa misuliOya bhagasi naomba ya huyo JAMAAA aiseee wa misuli