GUI
JF-Expert Member
- Oct 15, 2016
- 1,847
- 1,299
Wanabodi habari za asubuhi.
Kwa anayefahamu naomba ushauri au ufafanuzi wa nini kitakuwa kinanisumbua kulingana na maumivu nitakayoyaeleza hapa.
Huwa napatwa na maumivu makali upande wa kulia wa tumbo, maumivu haya huwa kama inavuta misuli kwa ndani kuelekea juu tumboni lakini kuna muda huwa yanashuka kwenye misuli ya korodan hii hutokea kila siku asubuhi kuazia saa kumi au kumi na moja mpaka mida ya saa moja hivi au saa mbili.
Nilienda kupiga ct scan ikaonekana hakuna tatizo.
Nasumbuliwa na vidonda vya tumbo.
Natanguliza shukrani