Msaada: Maumivu makali kwenye mishipa ya mikono

Msaada: Maumivu makali kwenye mishipa ya mikono

Neema j swai

Senior Member
Joined
Mar 27, 2017
Posts
177
Reaction score
103
Habar zenu wapenz? Dada yang ana tatzo anasema toka wk iliyopta anaskia maumivu makali kwenye mishipa ya mikono cjui misuli had kweny viganja inavuta na wakat wa ucku anaskia anaishiwa nguvu mikonon had mikono inakakamaa anashndwa kushka ktu au kuugeuza wakat mwingne anasema pia miguun anaishiwa nguvu na anapata maumivu makal ya misuli, tunaomba ushaur kwa anayejua ili apate mwanga wa tatzo ili akienda hospital ajue anaanzia wap
 
Karogwa huyo anajini mahaba aje kwa popoma apate tiba
 
huyo atakuwa afanyi kazi ndo maana mwambie achukue jembe alime hata bustani
 
Ana umri Gan cause ukiwa mzee age 70- mbaadhi ya mishipa inakuwa inashindwa supply damu kwa ufanisi au kama kawaida Cheki sugar na presha kwanza afu itajulikn
 
Ana umri Gan cause ukiwa mzee age 70- mbaadhi ya mishipa inakuwa inashindwa supply damu kwa ufanisi au kama kawaida Cheki sugar na presha kwanza afu itajulikn
Ana miaka 26 sukar hana wala presha kuna wakat pia anasema anaskia viganja vya mikono vinachezacheza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom