ARISTOTLE79
JF-Expert Member
- Apr 27, 2015
- 451
- 139
Habari Wadau wa humu ndani mie Sina mda mrefu humu kama member ila nimekua mfuatiliaji wa Mambo humu kwa muda mrefu.
Nimekuja hapa Naomba msaada juu ya Mambo mawili Kuhusu ms Excel
1. Kubadilisha neno liliandikwa kwa herufi ndogo kwenda herufi kubwa CAPITAL LETTERS
2. Kupanga orodha kubwa ya takwimu let's say majina, marks, miaka nk katika seniority.
Mi huwa lazima nibadili language ya computer kwenda ARMENIA ndo ikubali so kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupanda bila kubadili Lugha ya computer yangu ntashukuru sana
Naomba kuwasilisha.