Pole mie nilipata shida ya moyo kutanuka aisee, nimetumia garama kubwa kuitibu, vipimo kwa Arusha St Elizabeth hospital, Electrocardiogram Ni 35,000 na cardiogram Ni 70000, hela ya file 1000, na kumuona dakitar Ni 20000Habari,
Naomba kuuliza nikitaka kufanya checkup ya magonjwa ya moyo niandae kiasi gani hospital maan Sina bima na hospital ipi ni poa zaidi au ipi ni poa na gharama zake ni za kawaida ambazo mtu anaweza kuzikudu kiurahisi au daktari unayemfahamu n.k
Maana nna dalili nying zinazoashiria Hilo tatizo pia ukizingatia Kuna family history ya Hilo tatizo Kwa mzee , Sasa nataka kuwah mapema kabla haijakuwa ishu nikawapa tabu ndugu ambaonwao wenyew tu wanantegemea mm
Hapo ni kama 140 vipimo, na solution ilikuwa nn?Pole mie nilipata shida ya moyo kutanuka aisee, nimetumia garama kubwa kuitibu, vipimo kwa Arusha St Elizabeth hospital, Electrocardiogram Ni 35,000 na cardiogram Ni 70000, hela ya file 1000, na kumuona dakitar Ni 20000
Hilo ni kweli kabisa, ila nataka hata pa kuanzia tu then baadae ntatafuta pesa zaidiMkuu mie nakushauri tafuta hela uende Kufanya check-up Kenya,hizo Hospital za kwetu madaktari wake sio wakuwaamini kabisa.Niliwahi kucheki afya pale Muhimbili na Benjamin Mkapa yani daktari anakupima moyo huku anaongea na simu.
Sasa wale wa maabara ndio bure kabisa-kiufupi huduma za Afya Tanzania ni majanga-watoa huduma hawako serious kabisa na kazi zao.
Unapewa dawa, limitations kwa salts and fats, reduce stress, n.k Kuna watu wanapona kabisaHapo ni kama 140 vipimo, na solution ilikuwa nn?
Bima si inaweza tumika?Pole mie nilipata shida ya moyo kutanuka aisee, nimetumia garama kubwa kuitibu, vipimo kwa Arusha St Elizabeth hospital, Electrocardiogram Ni 35,000 na cardiogram Ni 70000, hela ya file 1000, na kumuona dakitar Ni 20000
Kama Ni family history hiyo Ni hypertrophic cardiomyopathyHabari,
Naomba kuuliza nikitaka kufanya checkup ya magonjwa ya moyo niandae kiasi gani hospital maan Sina bima na hospital ipi ni poa zaidi au ipi ni poa na gharama zake ni za kawaida ambazo mtu anaweza kuzikudu kiurahisi au daktari unayemfahamu n.k
Maana nna dalili nying zinazoashiria Hilo tatizo pia ukizingatia Kuna family history ya Hilo tatizo Kwa mzee , Sasa nataka kuwah mapema kabla haijakuwa ishu nikawapa tabu ndugu ambaonwao wenyew tu wanantegemea mm
Watu wanaumwa moyo hatari,,utatupa mrejesho tunaweza kukushauriInawezekana kabisa, ila nipo hapa JKCI nasikiliza vipimo sema ndo Kuna bonge la jam,
Nyongeza tu bali ipo nje ya mada ila ni ugonjwa tofauti ,nakumbuka mwezi uliopita nilipata dental carrier(wadudu walianza kushambulia jino ) kwenye gego la chini kushoto sasa uzuri nina bima nikaenda hospitali tena ina jina kubwa tu na ni private wana mashine nyingi tu za kimatibabu.Mkuu mie nakushauri tafuta hela uende Kufanya check-up Kenya,hizo Hospital za kwetu madaktari wake sio wakuwaamini kabisa.Niliwahi kucheki afya pale Muhimbili na Benjamin Mkapa yani daktari anakupima moyo huku anaongea na simu.
Sasa wale wa maabara ndio bure kabisa-kiufupi huduma za Afya Tanzania ni majanga-watoa huduma hawako serious kabisa na kazi zao.
Yani unachojiuliza ni nini? Kwamba alikuwa anakudanganya au hajui?Nyongeza tu bali ipo nje ya mada ila ni ugonjwa tofauti ,nakumbuka mwezi uliopita nilipata dental carrier(wadudu walianza kushambulia jino ) kwenye gego la chini kushoto sasa uzuri nina bima nikaenda hospitali tena ina jina kubwa tu na ni private wana mashine nyingi tu za kimatibabu.
Sasa mimi jino langu lilikuwa haliumi ila limeweka weusi kidogo kwa juu na nikinywa maji ya baridi sana linakuwa sensitive kwa mbali nikaona niliwahi kabla halijalika zaidi sasa nafika jamaa ni specialist lakini ananishauri niling'oe tena kwa msisitizo huku ananiambia huwa yanayozibwa hayakawii kuuma zaiidi nikamwambia siwezi ng'oa jino kwa sasa .
Alipoona nakaza ikabidi afuate ninavyotaka akakwangua carriers zote akaziba na ile composite filler na mpaka sasa namshkuru Mungu nipo salama sina shida yoyote kama alivyotaka kuniaminisha .
Baada ya kutoka pale nilijiuliza sanaa aisee
DaaaSawa mzee, hospital zetu hizi za serikal mambo yanaenda slow sana jam Toka 12 asubuh na hakuna hata dalili