Msaada: Matatizo ya meno

fite fite

Senior Member
Feb 27, 2017
113
94
Hellow wana jf, awali ya yote namshukuru mwenyezi MUNGU kwa kitupatia uzima na afya njema, pole kwa walio na hitilafu ya afya. kama kichwa tajwa hapo juu,

Naombeni msaada nifanyaje meno yangu yametoboka na mengine yametengeneza rangi nyeusi kwa ndani...

Pia naomba kujua dawa ipi ni nzuri itayoweza kutibu haya meno? sina raha kabsa kula vyakula ni shida, kucheka ni shida yaan dah. Natanguliza shukrani za dhati kwenu.
 
Back
Top Bottom