Richest richman qudu
New Member
- Aug 13, 2019
- 3
- 1
Mimi mwaka 2018 nilimaliza Kidato cha Sita na kuchaguliwa Mwenge University lakini sikuipenda kozi hivyo nilihairisha masomo na mkopo pia nilisitisha. Nliambiwa mwaka 2019 ningepewa mkopo kwa sababu niliuifadhi lakini haikua hivyo, nilipo riport loan board walinizngusha.
Je, nikiapply tena kunauwezekano wakupata? Wenye uelewa katika hili please msaada
Je, nikiapply tena kunauwezekano wakupata? Wenye uelewa katika hili please msaada