John the babtist
Member
- Jun 27, 2012
- 60
- 9
Natarajia kuanza maisha vipi kwa wale wanaokufahamu
haya mkuu shukran kwa ukarimu na nauli ni kama ngapi toka shinyanga town coz niliambiwa hio ndio njiakaribu sana! Kuna kilakitu binadamu anachoitaji. Hata kitimoto kama nimdau utapata! Maji ni shida kidogo na umeme ni mgao wa mdamrefu ingawa hautangazwi lakini utazoea usijali.
haya mkuu shukran kwa ukarimu na nauli ni kama ngapi toka shinyanga town coz niliambiwa hio ndio njia