Wafyatua matofali, watengeneza nguzo za fence, hao ndy wana tengeneza hizo perving blocks kama uko mbezi ya kimara Utazima barabarani au bagamoyo road kuanzia tegeta kuendelea utazipata hukoWajenzi.naweza wapi kupata mashine ya kutengenezea perving?je ni rahisi kununua kiwandani au kutengeneza mwenyewe?natanguliza shukrani.