Msaada: Mashine ya kukoboa/pukuchua mpunga

nzalendo

JF-Expert Member
May 26, 2009
11,734
12,024
Waungwana

Kwa jiji la dar es salaam wapi naweza pata machine ambayo itakoboa mpunga?

Nimejaribu kulima na sasa nshavuna nausomba mdogomdogo

Nauhifadhi Dar,nataka sehem ambayo waweza nikoboleshe kwa bai AHUENI.

Namtangulizieni Shukurani nyingi sanaaa.
 
Back
Top Bottom