Msaada: Mashine nzuri za bakery

aminiusiamini

JF-Expert Member
Aug 25, 2011
3,577
2,221
Wakuu naomba mnisaidie kunitajia mashine za bakery ambazo ni nzuri na sio za kichina na wapi wa kununua?
Natanguliza shukrani nyingi kwa majawabu ambayo nitapata hapa.

ahsante.
 
nunua brand yoyote kutoka ulaya au marekani nimesahau majina yao, pia mashine zinazotoka south afrika zinadumu zinaitwa mac adams. ila tofaut ya bei ni mbingu na ardhi mf, dough mixer ya italy ya kilo 12 tu ni 6.5m wkt ya kichina ni 2m, oven deck3 yenye sinia 3 macadams ni 13m wkt mchina havuki 7m
duka lipo mitaa ya makumbusho
lkn ukipata mtu mzur anaweza kukutafutia vya kichina vyenye ubora wa kutosha na kupiga kaz nzur bila shida.
karibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom