Mungu akusamehe that's all I can say..sijasema elfu 5 si pesa.. Ila nimekupa ushauri ambao ni njia endelevu zaidi ya kujipatia kipato haraka wewe kama demu...ambayo ni kujiuza mwili wako...hii ni njia endelevu zaidi ya kuombaomba hela mitandaoni wakati umekalia mtaji....
HahahahaahaahahahaHiyo hela utumiwe kwa njia gani!? Uaminifu upo vipi?
Niombee nimle mhindi maana nina mikeka nimeiweka nasubiria itiki!!
Kila la heri mkuu
Mungu akusamehe that's all I can say
Kwahiyo unaona busara kabisa kunishauri nijiuze ili niweze kuishi?..kwa lipi?..kukupa ushauri unaweza kuchukua ama kuacha.....vinginevyo Inaonekana unatoa hukumu kwa wengine...wakati mwenye shida ni wewe... Pambana na hali yako mama....
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo hela utumiwe kwa njia gani!? Uaminifu upo vipi?
Niombee nimle mhindi maana nina mikeka nimeiweka nasubiria itiki!!
Mamndenyi shimbonyi shafo maeYes, wenye moyo wa kutoa bado wapo. May God bless them.
Dada achana na wasukuma hao huwa hawanaga akili kabisaaa hao ni kabila la ajabu kuwahi kutyokea duniani ndio maana mambo yao mengi ni vichekesho tuu! Samahan lakin kama na wewe ni msukuma .ila ukweli hao jamaa ni pasua kichwa akili zao na hayo ndio huwa majibu yao maranyingi.Kwahiyo unaona busara kabisa kunishauri nijiuze ili niweze kuishi?
Mungu aendelee kukusamehe tu
Akikujibu straight bila kukwepesha nitagVipi ushaamua utakuwa mwanamke au mwanaume?
Kwahiyo unaona busara kabisa kunishauri nijiuze ili niweze kuishi?
Mungu aendelee kukusamehe tu
kama unatumiaHabarini wana Jf kwa mara ya kwanza najitokeza kuomba msaada kwenu naamini nitasaidika nipo katika hali ngumu sana
Mwenye shilingi elf 5 tu naomba anisaidie nitamrudishia mwiisho wa mwezi angalau inisaidie kuishi mpaka tarehe 23/3
Hapa ninapoandika thread hii sina cent tano mfunikoni sina pa kukimbilia nikaona nije huku najua kuna watu watakaoguswa kunisaidia.
I declare my interest mimi ni mfanyakazi serikalini na nina mshahara si mkubwa sana ila unaitosha kwa kuishi na kulipa kodi ila mwezi huu nilipatwa na challenge ambayo ilisababisha nilimaliza hela zote toka tarehe 5/11 kuanzia hapo nikaanza kukopa kwa rafiki wa karibu sasa imekuwa too much mpaka naona aibu kukopa tena
Nimekuwa nikila mlo mmoja kuanzia tar 5/11 mpka sasa naona hali yangu sio nzuri kiafya. Nimejaribu kuuza simu bila mafanikio ya kupata mteja.
Naomba mnisaidie dada yenu kuna muda nawaza hata kwenda kujiuza maana sina namna ya kuishi.
Najua mtauuliza nimenunua vipi vocha na kuweka mb ni Hivi nilikua nimebakiwa na 500 tu nikaona nitumie njia hii labda naweza pata msamaria humu wa kunikopesha hata kwa riba.
Natanguliza shukrani za dhati kwa atakaenisaidia mkopo wa sh 5000 kwa riba ya 5000.
Ukiguswa kunikopesha naomba nione pm nikupe namba
Msaada wa haraka wanajf kabla MB hazijaisha zikiisha hata hiyo pm sijui nitaifunguaje
mkuu vipi bado haujamla mhindi tu mpaka sasa hvi?Hiyo hela utumiwe kwa njia gani!? Uaminifu upo vipi?
Niombee nimle mhindi maana nina mikeka nimeiweka nasubiria itiki!!