Msaada manunuzi ya mtandaoni

Ndigwa

JF-Expert Member
Feb 11, 2013
210
59
Naomba maoni yenu, nilikuwa naangalia gharama za kusafirisha mzigo wa kilo 40, cha kushangaza mzigo wenyewe haufikii hata hiyo bei ya kusafirisha, hakuna njia zingine za kusafirisha kwa gharama nafuu?. Gharama ni kama ifuatavyo:
SHIPPING RATE CALCULATOR
1. Where is your package going?2. About how much does it weigh?
pounds kilograms
Don't see package count or dimension input? MyUS calculates rates by weight ONLY, regardless of package size and count.

0" style="margin-top: 1em;">
ESTIMATED SHIPPING COSTSwith Single Package Membership
FedEx Economy
5 - 10 days
TZS 1220326.56

DHL Express
1 - 4 days
TZS 1470715.43

FedEx Priority
1 - 4 days
TZS 1587505.84

UPS Expedited
2 - 8 days
TZS 2632602.38

UPS Worldwide Saver
1 - 4 days
TZS 3876242.62

  • Rates quoted above are inclusive of any applicable MyUS package consolidation and preparation for export.
 
Gharama sio muhimu sana, ni uzito tu ndo cha muhimu, kama ni Marekani kuna USPS ambayo ndo posta yao iko cheaper kidogo lakini at 40Kg nadhani umezidi maximum yao.
 
Back
Top Bottom