Msaada manunuzi kwa Kaymu

Msaada manunuzi kwa Kaymu

Steph Curry

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
5,936
Reaction score
4,713
Habari wakuu..

Naomba msaada kujua ni kwa namna gani naweza kufanya manunuzi kwa kutumia ile App ya Kaymu.. Kuna bidhaa nimezilist nataka kuzinunua ila nashindwa jinsi ya kufanya malipo na pia sina uelewa wa vipi nitaupata huo mzigo..

Kwa yeyote ambae ashawahi fanya manunuzi kwa huu mtandao naomba anisaidie..
 
Back
Top Bottom