Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,705
- 11,298
- Thread starter
-
- #21
Hana simu na hapa Dar alikuja tu Kwa Mwanaye.Ila kuna wakati Huwa Hali yake ya akili haipo sawa,ana Mental ilnessAlikuwa ana simu?
Asante nduguPoleni sana
Poleni sana,I hope every thing Will be alrightHana simu na hapa Dar alikuja tu Kwa Mwanaye.Ila kuna wakati Huwa Hali yake ya akili haipo sawa,ana Mental ilness
Mkuu Kwa Sasa naomba tusaidiane Kwa hili Tangazo langu.Mungu akubarikiNjombe Ndiyo kwa Wakinga wenye maduka kariakoo?
Thank you kiongoziPoleni sana,I hope every thing Will be alright
Kama ni hivi taarifa zisambae atapatikana, Mungu amlindeHana simu na hapa Dar alikuja tu Kwa Mwanaye.Ila kuna wakati Huwa Hali yake ya akili haipo sawa,ana Mental ilness
AminaKama ni hivi taarifa zisambae atapatikana, Mungu amlinde
Siku nyingine hapo palipokolezwa fanya liwe Neno moja.Poleni sana,I hope every thing Will be alright
Itakuwa picha zimefanana tu siyo huyuJamani huyu mama imepita kama mwezi mmoja ivi wamesambaza picha zake kwenye whatsapp kuwa amekatwa viungo? Kumbe ni uzushi!!
Mkuu tunashukuru kapatikanaKama ni hivi taarifa zisambae atapatikana, Mungu amlinde
Mkuu kutangaza makanisani na misikitini kumesaidia maana ni moja ya watu waliotoka kanisani baada ya kusikia Tangazo aliweza kumuona njianiPole sana Mkuu,jaribu pia kutangaza kwenye misikiti na makanisa
Pia,jitahdi kusambaza picha zake kwenye ma-group ya WhatsApp
Vilevile nitahd kwenda mortuary ya muhimbili,Ilala na mwananyamala ukaulizie kwa kuwa sisi ni binadamu na dharura huweza kutukuta mahali popote!
Tunashukuru mkuu maana nilitaka nikutoe hofu tu mama zetu wa kidigitali usikute kapata kaserengeti kapumzika mahala ila hoyo yawezekana mambo ya jiji tena alienda kushangaa taa tuNdugu wanajf naomba mnisaidie kusambaza taarifa za kupotea Ndugu Vitalia Mung'ong'o ni mwenyeji wa Njombe Ila kwa Sasa alikwepo Kwa kijana wake Dar mitaa ya Makuburi kibangu.
Alipotea jana Tarehe 6/72018 mchana muda kama wa saa Saba.
Kwa yeyote atayemwona atoe taarifa polisi au apige simu 0658999812View attachment 804617View attachment 804618
Updates:
Tunashukuru Kwa maombi yenu.
Mama yetu amepatikana maeneo ya Ubungo karibu Na mataa.Asanteni sana