Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,705
- 11,298
Asante sana mkuu tunajitahidi kufanya hayo yote.Pole sana Mkuu,jaribu pia kutangaza kwenye misikiti na makanisa
Pia,jitahdi kusambaza picha zake kwenye ma-group ya WhatsApp
Vilevile nitahd kwenda mortuary ya muhimbili,Ilala na mwananyamala ukaulizie kwa kuwa sisi ni binadamu na dharura huweza kutukuta mahali popote!
Asante nduguPoleni sana
Mkuu kidogo sijakupataSiri ya yote haya mnaijua ila mnazuga
Amina twaendelea pia kumuombaPoleni sana. Mungu aendelee kumlinda na kumtunza kisha kumrejesha salama nyumbani
Asante ndugu Kwa niaba ya familiaPoleni sana!
Mungu aendelee kuwasaidiaAsante ndugu
Alikuwa ana simu?Ni mama wa Jamaa rafiki yangu,(Jamaa yangu) Leo tumetafuta sehemu mbalimbali tumepeleka matangazo makanisani ni misikitini hasa maeneo ya Ubungo Kisukuru makuburi Mabibo na Ubungo.Ila hatujapita mahospitalini.
Hivi wakinga ni wengi sana kariakoo?Njombe Ndiyo kwa Wakinga wenye maduka kariakoo?
Nimekuelewa swali lako ila wanasema tulikuwa tunawasingizia tu wengi walipata pesa kwenye kuuza mashamba ya miti na sio kafara.Njombe Ndiyo kwa Wakinga wenye maduka kariakoo?
Wakinga wanaongoza kununua ma flat ya frame kariakoo. Sijui sasa hiviHivi wakinga ni wengi sana kariakoo?