Habari za wakati huu Wana JF,
Bila kupoteza muda twende kwenye mada moja kwa moja. Nilikopa bank ya STANBIC mwaka huu kupitia salary slip.
Na mshahara wa mwezi uliopita deni lao halikuonekana kwenye salary slip yangu (yaani hawakukata) sijui kosa la mwajiri au nani sijui?
Nimekuwa nikipokea simu kwa Loan officer wao, na akinitaka niweke hela kwenye account ya deni langu, na nilikua sijui kuhusu hili ili jambo mpaka nilipo angalia salary slip.
Nimemwambia afatilie kwanza kwa muajiri then anipe update naona mpaka sasa bado.
Na kunipa vitisho kwamba nitakuwa sio mkopaji nzuri na wataniweka kwenye list mbaya.
Sasa najiuliza kosa langu lipo wapi?
Naomba ushauri wenu juu hili bado nawatafakari.
Ndio usipokatwa ni jikumu lako kulipa, unless mwajiri akukate halafu usipeleke, ila kama hukukatwa tafuta hela walipe sio vizuri kuwa blacklisted na CRB kwa viela vidogovidogo sepa hata na M500 hapo tutakuelewaaHabari za wakati huu Wana JF,
Bila kupoteza muda twende kwenye mada moja kwa moja. Nilikopa bank ya STANBIC mwaka huu kupitia salary slip.
Na mshahara wa mwezi uliopita deni lao halikuonekana kwenye salary slip yangu (yaani hawakukata) sijui kosa la mwajiri au nani sijui?
Nimekuwa nikipokea simu kwa Loan officer wao, na akinitaka niweke hela kwenye account ya deni langu, na nilikua sijui kuhusu hili ili jambo mpaka nilipo angalia salary slip.
Nimemwambia afatilie kwanza kwa muajiri then anipe update naona mpaka sasa bado.
Na kunipa vitisho kwamba nitakuwa sio mkopaji nzuri na wataniweka kwenye list mbaya.
Sasa najiuliza kosa langu lipo wapi?
Naomba ushauri wenu juu hili bado nawatafakari.
Mkuu sijatoka hela yote, na nilienda Bank, rejesho lao ni 40490,Kosa lako umetoa pesa yote mpaka ya marejesho kabla bank husika hawajakata
Kila bank inaweka muda au taarehe ya kukata maresho
Sikuzote marejesho hayaingii kene salary slip
So ukiwahi kupata mshahara usitoe wote mpka bank wakate marejesho
Makato ya mkopo huwa yanakatwa moja kwa moja kabla hayajaigizwa kwenye akaunti ya benkiKosa lako umetoa pesa yote mpaka ya marejesho kabla bank husika hawajakata
Kila bank inaweka muda au taarehe ya kukata maresho
Sikuzote marejesho hayaingii kene salary slip
So ukiwahi kupata mshahara usitoe wote mpka bank wakate marejesho
nilishafanyaga sana huo mchezo, kama wao wanakata lets say 30 kila mwezi, mie mshahara ukiingia tu nakomba zote - aisee nilikuwa nasakwa kama Osama, baadaye nikajisalimisha nikalipa na adhabu yake - tukayamaliza.Kosa lako umetoa pesa yote mpaka ya marejesho kabla bank husika hawajakata
Kila bank inaweka muda au taarehe ya kukata maresho
Sikuzote marejesho hayaingii kene salary slip
So ukiwahi kupata mshahara usitoe wote mpka bank wakate marejesho
sio vizuri kuwa blacklisted na CRB kwa viela vidogovidogo sepa hata na M500 hapo tutakuelewaa