Unamapesa ya kutosha nikuunganishe kwa sheikh wangu????
Huwa anawasomea watu wenye matatizo kama hayo na alhamdulillah amewasidia watu wengi sana.
Nimeuliza mapesa kwa makusudi manake hawa madudu wakiona wewe tabibu unajifanya unataka kumsaidia mgonjwa wanaweka bifu na tabibu mwanzo mwisho na huwa inatokea wanaweza kumkill kabisa,hivyo tabibu ataamua kujirisk kufanya maombi wakati anajua atapata salio la kutosha la kumliwaza.