Msaada majina toka bodi ya mikopo siyapati | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada majina toka bodi ya mikopo siyapati

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mshamu, Sep 20, 2012.

 1. mshamu

  mshamu JF-Expert Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 391
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Jamani najaribu kuangalia majina ya walipata mikopo siyaoni na dogo yupo hapa anawasiwasi kweli hakuna aliyeyapakuwa atuwekee hapa jamani
  Asanteni kwa watakaonisadia
   
 2. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  Website zote za TCU na HESLB zinasumbua kwa sasa....kuwa mvumilivu tu.
   
 3. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Nipe jina kwa pm nikutizamie, maana mie nimedownload yote.
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,206
  Likes Received: 3,828
  Trophy Points: 280
  watu wengi wanabrowse, hivyo avumile. Kwa mfano mimi niliangalia saa nane usiku, ilikuwa raha. Do the same if you can! sasa hivi utapoteza muda mwingi na fadhaa!
   
 5. WamLola

  WamLola JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 346
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  ndugu yangu Binti.com mi naonmba niatachie hayo majina yote kupitia email yangu hii kassasilas@yahoo.com
   
Loading...