New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,400
- 2,572
Utakuwa baba mbaya ukimkataa mtoto wako!
^^
Ooooh.......sasa itakuwaje........?.......
hahahaa, dada preta umenifanya nicheke tu
sijui nifanyeje..ninamchumba angu tuko kwenye mahusiano miaka mitatu sasa na tumeahidiana kuoana lakin mapenz ni ya long distance ye anafanya kazi mkoa mwingine.Tatizo liko kwangu huku nliko niliingia kwenye mahusiano na kabint flani nikijua kakupooza tu lakin miez minne sasa nimenogewa na kabinti haka na kameshika mimba hata sijui iweje nikimwambia tutoe anasema hatoi kama sitak mtoto nisimjue atalea mwenyewe..najiuliza nifanye uamuz gan katika hili..
Ooooh.......sasa itakuwaje........?.......
Ooooh.......sasa itakuwaje........?.......