Msaada maji shingoni

Msaada maji shingoni

kaka hapo huna choice jipange kulea kama Mimi.hiyo imenitokea pia hivo hivo nilikua nataka kupita ooh nikaona mwez mmoja baadae bint Mara maembe mabich,Mara ukwaju Mara malimao nikasema tayari.nilichokifanya sikupanic bro nikakubaliana na hali halisi ninae mpaka sahiz bint mimba ina miezi mitano broo.kubali matokeo broo

Ubarikiwe Chief
 
Ndio maana wakware wanasema ukitafuta mchepuko basi walau awe 'mkali' kuliko njia kuu...

Hapo ushaangukiwa na jumba bovu, lea mimba hiyo kijana na utunze huyo binti...
 
pole sana na hongera kuwa baba Fulani soon.
 
Raha mpate wenyewe...... Mauti yamkute mwingine.. Huyo kijacho kajiweka mwenyewe kwenye tumbo la mama???! Ole wako wewe unayemshauri mwenzio atoe mimba.......mh!
 
Una decrease probability c kasha kwambia mtoa post alichukua kabint kwasababu gn? kwan angekua nae mwenzie angefanya hayo?
Ha ha ha ncheke kama mazuri, kuna watu wanakatiwa viuno nite nzima utadhan wameoa wanenguaji,wanalala wameloeka, asubuhi wanaagana na mabusu bye hny baadae...na mchana wake wanacheat nnachokisema am 100% sure!!! kama mwenzio yupo hivo ni wa hivo tu usidanganyike na ukaribu wala umbali
 
Una roho ya kiuaji wewe!!ulitaka atoe mimba??
 
I don't trust in distance relationships. Kipozeo sasa kawa yamoto. Muoe huyo huyo kipozeo.
 
kaka hapo huna choice jipange kulea kama Mimi.hiyo imenitokea pia hivo hivo nilikua nataka kupita ooh nikaona mwez mmoja baadae bint Mara maembe mabich,Mara ukwaju Mara malimao nikasema tayari.nilichokifanya sikupanic bro nikakubaliana na hali halisi ninae mpaka sahiz bint mimba ina miezi mitano broo.kubali matokeo broo

Ulifanya poa sana mkuu
 
Aisee chukua damu yako mkuu huyo wa huko maili mia sita sio wako tena maana huyo ashachukuliwa na bos wake
 
After several coming years i believe that you will be a father of numbers of children na wife mmoja pia na wamama kadhaa uliozaa nao

BTW sio mbaya unatimiza tu lile agizo la Mwenye enzi la kuijaza na kuishindilia dunia mkuu!
 
Kamtoe hiyo mimba oa unayemtaka maana huyu si takataka bhanaa huko mkija kosa mtoto uanze oooh ningeee nk kibaaao. UMSIMU WA KILIMO UMEANZA UKAANDAA SHAMBA,UKAKATA MATUTA,UKATIA MBEGU YA MAHINDI NA MBOLEA JUU LEO IWEJE ULALAMIKE YAMEOTA MAHINDI NA WATAKA MAHARAGWE,KWANI ULIPANDA MAHARAGWE WEIYEEE? Utavuna ulichopandaaa...
 
Back
Top Bottom