Msaada: Mahari kwa wasambaa inatolewaje?

Mjomba ukienda kuposa taratibu zote utaelezwa huko sio hapa... Nendeni mkaone wazee wake watawapa mahitaji yao
 
Mahali zinatofautiana kutokana na koo mbali mbali hivyo hakuna uniformity juu ya suala la mahari, kinachotakiwa kama upo serious ni kuwaona ndugu zake kwa taratibu zinazotakiwa ili uweze kutimiza lengo lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…