Unajua ukisema Tanga watu wengi akili inawapeleka kule tanga mjini pwani mambo ya kanga moja,ngoja niwape ufahamu ,Tanga kama mkoa iumeathiriwa na tamaduni mbili tofauti,Tanga iliyoathirika na mwarabu kwa maana ya Tanga mjini,pangani, handeni kidogo muheza kidogo, huku wengi ni waislam na tanga iliyoathirika na mjerumani,kilindi,korogwe na lushoto wengi ni wakristo huku ilipaswa kuungana na Same na Mwanga kwa wapare wakatengeneza
Mkoa wao kuliko wapare kuwa kwenye mkoa wa wachaga kwani hawaendani,sasa hawa wasambaa wa kilindi,lushoto na korogwe wana maadili sana ,hawana mambo ya kukaa vibarazani kwani wanatoka familia za wakulima na wafugaji tofauti na wale wa tanga mjini kanga moko wana wajomba uarabuni hawalimi wala hawavuni bwana huwalisha.