Msaada mahali yalipo makao makuu ya NIDA

mach0

Member
Joined
Aug 7, 2018
Posts
24
Reaction score
13
Habarini wanajamvi, Ninaomba kufahamishwa mahali yalipo makao makuu ya NIDA kwani natakiwa kwenda kufuata barua ili itumike kama mbadala wa kitambulisho cha taifa wakati wa kuomba passport.

Natanguliza shukrani
 
Kawe opposite na Feza Primary School au nyuma ya kituo cha polisi Kawe
 
Habarini wanajamvi, Ninaomba kufahamishwa mahali yalipo makao makuu ya NIDA kwani natakiwa kwenda kufuata barua ili itumike kama mbadala wa kitambulisho cha taifa wakati wa kuomba passport.

Natanguliza shukrani
Yako jirani na ubalozi wa Ufaransa, Ali Hassan Mwinyi Road

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliona ofisi zao Kibaha sasa sijui zishafunguliwa!!
 
Jibu Sahihi Ndiyo Hili
Nenda Ubalozi Wa Ufaransa Ukitemka Hicho Kituo Maarufu Kwa Jina Ubalozi

Halafu Sijajua Unatokea Ila Iwapo Unatokea Postal Utasonga Mbele Halafu Fuata Njia Inayoingia Kushoto
Niko university of Dar es salaam nipe muelekeo mpka kufika hapo
 
Back
Top Bottom