Msaada Mahali wanapo Print Mabango mazuri ya Biashara High Resolution kwa Mwanza

Zuia Sayayi

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2011
Posts
841
Reaction score
140
Heshima mbele wakuu naomba mwenye kufahamu mahli ambapo wana Print mabango makubwa kwa biashara yaan i mean bango hata lenye ukubwa wa kuanzia 90 inch * 6o inch nataka kuweka kwenye biashara yangu. mwenye kujua sehem nzuri iliyopo mwanza aniambie ni sehemu gani ikiwezekana aniambie hata bei kama anaijua, bango tayari lipo ktk softcopy ni high quality maana nahitaji nitafte frame ili niweke taa kwa ndani usiku liwe linawaka
#thankx
 
Mwanza zipo. Maeneo ya Mwanza hotel pale. Na mimi ilikuwa kama wewe tu, nina biashara yangu nafafuta hiyo huduma. Pitapita mitaa ile nikaona jamaa kama wanachonga mihuri vile. Kuwaulizia wakasema pia wanatengeneza mabango ya taa. Coz nilikuwa natafiti tu, hivyo sikuongea nao sana. Ila wana-charge kulingana na size, advert upande mmoja au pande zote, unataka complete na taa au taa utaweka mwenyewe. Katikati ya week hii nitaenda tena kuonana nao. Kama hauna haraka nisikilizie nitakuletea news hapahapa.
 
ukienda utanPM maana nlkua na lengo la kuPRINT tu But for now nahis na taa ntahtaj wanwekee wao ili kuliongezea stability
hao wa2 wa mihur wachora? Au wanatumia machne.? Ku print? Au mm cjakuelewa
 
Waliniambia hata kama nataka waniwekee picha yangu wanaweza. Kwa uelewa wangu, watakuwa wanatumia machine.
 
Pale floor ya pili ya Jengo la Bima Opposite na Posta ya Fery

kuna Office za Tropical Media uliza mtu anaitwa Kisibi
 
Heshima mbele wakuu naomba mwenye kufahamu mahli ambapo wana Print mabango makubwa kwa biashara yaan i mean bango hata lenye ukubwa wa kuanzia 90 inch * 6o inch nataka kuweka kwenye biashara yangu. mwenye kujua sehem nzuri iliyopo mwanza aniambie ni sehemu gani ikiwezekana aniambie hata bei kama anaijua, bango tayari lipo ktk softcopy ni high quality maana nahitaji nitafte frame ili niweke taa kwa ndani usiku liwe linawaka
#thankx

Ninalo bango kubwa lenye taa ndani, naweza kukuuzia na nikakupa contact ya jamaa anaye print akakuwekea maandishi yako

Bango liko mwanza, ukiwa tayari nipigie uje kuliona. 0767659145
 
Heshima mbele wakuu naomba mwenye kufahamu mahli ambapo wana Print mabango makubwa kwa biashara yaan i mean bango hata lenye ukubwa wa kuanzia 90 inch * 6o inch nataka kuweka kwenye biashara yangu. mwenye kujua sehem nzuri iliyopo mwanza aniambie ni sehemu gani ikiwezekana aniambie hata bei kama anaijua, bango tayari lipo ktk softcopy ni high quality maana nahitaji nitafte frame ili niweke taa kwa ndani usiku liwe linawaka
#thankx

Mkuu... Check PM
 
Back
Top Bottom