Malyenge
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 6,658
- 3,664
Wakuu habari za leo. Naombeni mnielekeze mahali wanapotoa mafunzo wa watoto wa umri wa kwenda shule hapa Dar.
Kuna mtoto anapenda sana mambo hayo lakini sipajui sehemu ninayoweza kumpeleka akajifunze zaidi kuendeleza kipaji chake..
Naomba msaada.....
Kuna mtoto anapenda sana mambo hayo lakini sipajui sehemu ninayoweza kumpeleka akajifunze zaidi kuendeleza kipaji chake..
Naomba msaada.....