habari zenu ma gr8 thnkerz., naomben msaada wa wapi ntapata mafundi wazuri wa blackberry kwa hapa Dar au Mbeya .. naogopa kuwapelekea hawa mafund wa nokia vitoch
xor bro ! ila tatzo n kwamb nna Bold 9000, ilizma tu yenyewe nkachaj lkn notin happnd ,nkaconnect in my pc lkn haikuwa dtcted nmebadl betr lkn waap alaf hata ile LED light haiwak xo nkaona no way out dan lukn 4 mafund ,xo help me plz naipenda xana BB yngu
pia ukitaka ipone fasta mwambie na chanzo cha kuzimika kwa bb yako.matatizo mengi ya simu yanasababishwa na vimiminika kama maji,pombe,jasho nk nk.pia umeme mala nyingi hutokea simu zikazimika wakati zikichajiwa. Kifupi utakuwa umemrahisishia.

yangu ni 9930 ilpasuka touch thn haikuwashwa muda mrefu now ukiwaasha haionesh kitu ila ukichaj kitaa kinawa na ukiwasha kitaa kinawaka thn kinazma, shida inaweza kuwa nini