Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 2,401
- 5,679
Ahsante..Ubungo
ubungo ndio sehemu yenye wezi wa kila aina, kuwa makini sanaUbungo
nipe suggestion yako bossubungo ndio sehemu yenye wezi wa kila aina, kuwa makini sana
ahsante mkuu, pametulia eh?kaa GOBA mkuu
mara ya pili inatajwa goba..itakuwa pako freshGoba ya Mbezi...
Pametulia sana chiefahsante mkuu, pametulia eh?
mbezi ipi boss wangu..fafanuaMbezi
pamoja mkuuPametulia sana chief
hahaha..ila nashukuruKitunda mwanagati, buza baadhi ya maeneo, tabata baadhi ya maeneo(segerea,kinyerezi etc ) goba, makumbusho, ubungo, kimara, kibamba, Kiluvya, ......nimechoka kuandika
Goba sio tu wezi, bali unaingiliwa ndani mwako usiku umelalamara ya pili inatajwa goba..itakuwa pako fresh
ahsante boss wangu...nitafanya researchKwa kuzingatia vigezo vyako hususani kigezo Cha eneo lisiwe la gharama sana.
Nenda kaishi Mbezi Beach ya Chini utakuja kunishukuru.
kwa watoto wa mjini kule hahahSinza hamnaga ushenzi,kule ni bata tu
seriouslyGoba sio tu wezi, bali unaingiliwa ndani mwako usiku umelala