M Mr. madevu JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 432 Reaction score 75 Jun 1, 2016 #1 Ninapenda kuuliza kama kuna madhara ya kuuziwa adsense na mtu, haswa pale inapokua haijawa verified(haijapata) barua?
Ninapenda kuuliza kama kuna madhara ya kuuziwa adsense na mtu, haswa pale inapokua haijawa verified(haijapata) barua?
Abu Haarith JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 314 Reaction score 165 Jun 1, 2016 #2 nami najiunga pamoja nawe kwenye kungojea majibu
Naisoma360 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2015 Posts 823 Reaction score 493 Sep 20, 2016 #3 Mr. madevu said: Ninapenda kuuliza kama kuna madhara ya kuuziwa adsense na mtu, haswa pale inapokua haijawa verified(haijapata) barua? Click to expand... Hakuna madhara isipokuwa pale akishakupa ni lazima ubadili address yako ili PIN itumwe kwako, kuna maeneo nyeti ya kubadili 1. Address 2. Hakikisha ametoka kabisa kuwa admin wa account hiyo 3. badili methods of payments kama kwako haifai Kikubwa fahamu kuwa kila kitu chake ni possible kubadilisha na kuweka vyako tu na unabaki salama na account yako. kwa maswali zaidi na Tricks mbalimbali ...Nafanya kwa bei nafuu..kwenye PM
Mr. madevu said: Ninapenda kuuliza kama kuna madhara ya kuuziwa adsense na mtu, haswa pale inapokua haijawa verified(haijapata) barua? Click to expand... Hakuna madhara isipokuwa pale akishakupa ni lazima ubadili address yako ili PIN itumwe kwako, kuna maeneo nyeti ya kubadili 1. Address 2. Hakikisha ametoka kabisa kuwa admin wa account hiyo 3. badili methods of payments kama kwako haifai Kikubwa fahamu kuwa kila kitu chake ni possible kubadilisha na kuweka vyako tu na unabaki salama na account yako. kwa maswali zaidi na Tricks mbalimbali ...Nafanya kwa bei nafuu..kwenye PM