Msaada: Mabasi yaendayo Songea

Msaada: Mabasi yaendayo Songea

Kuna New Force na Super Feo.
9ae9b6e9292f78e4790282fd18983322.jpg
 
Wajanja wanapanda newforce ila kama wewe mkinga au mbena super ndo magari yao
 
Wajanja wanapanda newforce ila kama wewe mkinga au mbena super ndo magari yao

Usilete ukabila baaana tufanye analysis za ukweli sote ni watanzania, hao new force ni wachina ukishaanza ukabila wengine wwtasema bora tupeleke hela kwa mkinga,mbena na mngoni aliyekumbuka kupeleka nagari kwao ili aendelee kutoa huduma kuliko mgeni anayeweza kuondoka magari yake muda wowote km walivyofanya wengine na kumwacha superfeo pekeyake maana ni mzawa
 
hahbhaha, hapo ni kitonga kama unapafahamu tulikwama mkuu. kuna ajali ya lori lilidondokea bondeni.


charge zipo ndani ya gari katika seat unayotazamana nayo. Nimepandisha picha jaribu kupitia posti za nyuma.

Sawa mkuu!!!!!!!!!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom