Unajua watu wengi wanajua hizi tabia za mitaani zipo Africa tu, kumbe sio kudhihirisha hilo kuna neno 'poke' ambayo kama alivyosema mchangiaji wa mwanzo ni hile hali au kitendo cha kumsuta flani hivi au wengine wanaweza sema kuzodoa, lakini kwenye facebook haijakaa kiugomvi ila ni kama kaburudani flani hivi, na ukiona someone kaku'poke' we unatakiwa kum'poke back' namna hiyo...Naomba kuwasilisha Mkuu!
Poke
kupata attention ya m2
its just like "hey whatsup??"
nae anarudshia
"fine men"
lkn hayo maneno sio kwamba eti unaandka no!
Uksha bonya 2 hcho k2fe cha poke tayar utakua umeisha mshtua mwenzio
mfano #2
wajita hustua kwa lugha yao "yego" au wahaya "iwe"
nae mwenzie anajbu hvyo hvyo "yego" au "iwe"
na ktk facebook hyo ndo lugha yetu #sayay theComput3rGUY
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.