Acha niseme yangu ya leo ni kali.
Nsha maliza shule na nimekua na vyeti vyangu.
sasa nimeota Matokeo yangu ya. chuo yametoka yamwbandikwa departmement sasa nikaenda kuyaangalia mara nakuta jina langu silioni katika kuangaza hapa na pale nikaonda karatasi chini imefukiwa kama na udongo hivi nikagundua ni barua nagalia vizur naona jina langu na la rafiki yangu mmoja hivi tulimaliza nae.
Barua kuisoma naona imetoka kwa Undergraduate director inasema kwamba mm na huyo rafiki yangu tulifeli sana tuna below nyingi Mojawapo ikiweko HESABU (MTH) kwahiyo tunatakiwa turudie mwakani na pesa ya hesleb imekuwa canceled.
Sasa nilipata kiwewe sasa katikati ya icho kiwewe my consiousness ikanza kupate network alert, sasa najiuliza bado niko ndotoni inaezekanaje barua hii wakati na cheti na transcript zote nesign na nimesha chukua, gafla. nikakumbua hata nilipo viweka gafla my consiousness mind ipkapata full control nikajua hii ni ndogo kujua hivo tu nikastuka( hii ndoto virtual reality yake iko very storng kama kwel vile).
HAIJAISHA
Nilivyo stuka nikajua hii ndoto lazima niko attacked underworld nikasali mtumish wa Mungu[emoji4].
Sasa kakika 15 hivi mbele nikapitiwa na usingizi Nikaota tena niko na mtu ambae sula yake sikuiona (subvonsiously na mjua lakin consiousness simjui wenda ndo adui yangu) nilikuwa napiga nae story fulani sizikumbuki ghafla nikawa na manati mkononi mbele kulikuwa mti mkubwa juu kukawa na NDEGE KASUKU WA BLUE(Blue parrot).
Sasa mwanzo nikaanza na mpiga kwa mbali na manati huku napiga story na yule mtu, sasa ghafla ni ka mwambia yule mtu ebu niache ni msogelew yule ndege kwa karibu ni mpige nika msogelea kwel nika mpiga na ile manati mgongoni akaangua akafa nikastuka nikasema am WON[emoji23] sasa sijui venye kuliendelea huko ulimwenguni.
Mshana Jr
Rakim