kwanza niwatakie heri ya pasaka na jumapili njema ya kwanza ya mwezi wa 4.
wandugu mm nimekuwa najiuliza bila kupata jibu nimekuwa nikiingia kwenye mitandao mbali mbali hasa instagram unakuta mtu kaweka picha yake na chini kaandika TBT......
mwanzo kwaharaka haraka mm nikafikilia labda wanamaanisha wapo tabata ila baadae nikagundua sio kweli kuna maana nyingine je huwa wanamaanisha nini??
au hilo neno linamaana gani au nikifupisho cha nini hasa.
uko nyuma kweli mshkaji wangu
Sasa mbona bado ni utata!?
Wengine wasema 'THROW', wengine 'TROW', wengine 'THRAW', wengine 'THRUE'!!??
Tushike lipi sasaπππ