Umeambiwa the heart of websites its html. So huwezi kufanya css kama hujui html. Kwanza elewa architecture of the web, elewa diffetent technologies na kazi zake. Hakikisha kwanza una general understanding "the big picture" then uanze kujifunza vipande vidogo vidogo.
Nimejitahidi kusoma HTML/XHTMLfrom the begining, leo nime malizia frames ila naona wengi wanaidharau kidogo HTML, wanasema it's poor tool. Natarajia kuanza CSS kesho. What do think.
HTTPS ni HTTP Secure, hii inafanya mawasiliano kwa kutumia encryption, yaani inavurugua wamasiliano ili kama kuna mtu anajaribu kuyasoma mawasiliano kati ya wewe na hiyo website atashindwa. Tofauti na HTTP ambayo ni plain text yaani mtu akifanikiwa kuingia katika line ya mawasiliano kati ya wewe na website anaweza kusoma data zote.
Kuweka HTTPS kunatumia resources za server (encryption/decryption zinakula CPU) ndo maana mara nyingi HTTPS inatumika katika page za login tu kuzuia mtu kuinyaka password ya mtumiaji. Ila kuna daadhi ya kampuni kama Google zimeanza kutumia HTTPS kila sehemu.
hapo hapo kwenye hii lifti wadau,kupitia hii topic nimepata swali hapa mkuu, sasa kama maswala yenyewe kuna ishu za HTTP Secure?? Inakua vipi pale watu wana "haijack" accounts??? sijui spelling ndio hivyo??
Wadau, nini maana ya HTTP na HTTPS ambayo yanajiandika kwenye address bar pindi unapofungua website,maana kila nnapofungua account yangu ya facebook na gmail huwa inaandika HTTPS lkn nnapofungua website nyingine inandika HTTP,
Mawasiliano ya http/https siyo lazima yawe kati ya browser na webserver inaweza hata kuwa kati ya webbot na computer yeyote. Pia siyo lazima iwe port 80 inaweza hata kuwa port 20 hii inategemeana na jinsi ulivyo configure server yako.Ngoja niandike kwa urahisi
http ni protocol inayotumika kuwezesha mawasiliano kati ya browser(internet browser,mozilla n.k) na web server kwa kutumia port namba 80
$proxy = '';
$ref = '';
$post_data ='';
$cookie_file_path = "./cookie.txt";
$agent = 'bot';
$target = 'http://jamiiforums.com';
$header = array ('Accept: text/javascript, text/html, application/xml, text/xml, */*','Accept-Language: en-us,en;q=0.5','Accept-Encoding: gzip, deflate','Connection: keep-alive', 'Content-Type: application/x-www-form-urlencoded; charset=UTF-8', 'Pragma: no-cache', 'Cache-Control: no-cache', 'Content-Length: '.strlen($post_data));
$ch = curl_init();
curl_setopt($ch, CURLOPT_URL, $target);
curl_setopt($ch, CURLOPT_HEADER,1);
curl_setopt($ch, CURLOPT_REFERER, $ref);
curl_setopt($ch, CURLOPT_NOBODY, FALSE);
curl_setopt($ch, CURLOPT_RETURNTRANSFER, TRUE);
curl_setopt($ch, CURLOPT_COOKIEJAR, $cookie_file_path);
curl_setopt($ch, CURLOPT_COOKIEFILE, $cookie_file_path);
curl_setopt($ch, CURLOPT_USERAGENT, $agent);
curl_setopt($ch, CURLOPT_CONNECTTIMEOUT, 260);
curl_setopt($ch, CURLOPT_TIMEOUT, 250);
if($proxy){
curl_setopt($ch, CURLOPT_PROXY,$proxy);
}
if($post_data == TRUE){
curl_setopt($cURL,CURLOPT_HTTPHEADER, $header);
curl_setopt($ch, CURLOPT_POST, TRUE);
curl_setopt($ch, CURLOPT_POSTFIELDS, $post_data);
}
curl_setopt($ch, CURLOPT_FOLLOWLOCATION, TRUE);
curl_setopt($ch, CURLOPT_MAXREDIRS, 4);
if(preg_match ("/\bhttps:/", $target ) ) {
curl_setopt($ch, CURLOPT_SSL_VERIFYPEER,0);
curl_setopt($ch, CURLOPT_SSL_VERIFYHOST,0);
}
$page = curl_exec($ch);
curl_close($ch);
echo $page;