na pia Kuna faida gani nitaipata nikiupdate to WP 8.1 ?2. screen kuzima simu ikijipiga hata kama hujaieka simu sikioni inamaana umeziba sensor, either kwa protector au uchafu au kitu chengine. sensor inakaa juu mbele ya simu. hebu cheki vizuri
1. una uhakika eneo lako kuna 3g ya airtel? hebu fanya manual scan halafu angalia result kama wanayo 3g airtel au simu yako kama inaipata
whatsapp? mafile madogo chini ya 100mb yote hayahitaji wifi. jaribu kuretryYah, eneo nililopo Kuna 3.75 G ya airtel. Na kabla ya hii Lumia 520 nilikuwa na tecno M3 na nikawa napata 3.75 G.
Halafu nakiepuka vipi kikombe cha kutumia WiFi nikitaka kudownload files kubwa.? Maana nataka download whatsapp toka WP store ila in request nitumie WiFi
wp8.1 ni must have kuna mambo mengi sana kama file manager, notification centre, cortana change log yake kuna vitu zaidi ya 100 unamiss ukiwa huja update.na pia Kuna faida gani nitaipata nikiupdate to WP 8.1 ?
Na pia ni namna gani naweza kuilock network ya simu to 3G mode only.?
outlook/hotmail zinatumia .csv hapo una option mbili login na hotmail then jaribu kuadd hizo contact kwenye email yako kama zilivyo au convert kwenda .csv then zieke kwenye email ya hotmailHalafu Nina backup file ya contact toka android katika extension ya .vcf. WP Inaitambua hii format.?
wp8.1 ni must have kuna mambo mengi sana kama file manager, notification centre, cortana change log yake kuna vitu zaidi ya 100 unamiss ukiwa huja update.
wp haziwezi kulock 3g only. ila ipo turn around inaitwa field test kuna ussd code unaeka.
kuipata field test inabidi uwe na firmware za nchi kama vietnam/australia na nchi nyenginezo sizikumbuki, firmware yetu haina filed test hivyo ili uipate itabidi uflash manual hizo firmware.
alternative subiria 2016 mwanzoni ukipata updates ya windows 10 utaweza kulock 3g only.

mkuu chief mimi nina hii build ya windows 10 lakini sina option ya 3g only au ni mpaka ile latest build inayoishia na .36?wp8.1 ni must have kuna mambo mengi sana kama file manager, notification centre, cortana change log yake kuna vitu zaidi ya 100 unamiss ukiwa huja update.
wp haziwezi kulock 3g only. ila ipo turn around inaitwa field test kuna ussd code unaeka.
kuipata field test inabidi uwe na firmware za nchi kama vietnam/australia na nchi nyenginezo sizikumbuki, firmware yetu haina filed test hivyo ili uipate itabidi uflash manual hizo firmware.
alternative subiria 2016 mwanzoni ukipata updates ya windows 10 utaweza kulock 3g only.
wp8.1 ni must have kuna mambo mengi sana kama file manager, notification centre, cortana change log yake kuna vitu zaidi ya 100 unamiss ukiwa huja update.
wp haziwezi kulock 3g only. ila ipo turn around inaitwa field test kuna ussd code unaeka.
kuipata field test inabidi uwe na firmware za nchi kama vietnam/australia na nchi nyenginezo sizikumbuki, firmware yetu haina filed test hivyo ili uipate itabidi uflash manual hizo firmware.
alternative subiria 2016 mwanzoni ukipata updates ya windows 10 utaweza kulock 3g only.
hii build mpya waliitoa vitu vingi, mi nilikuwa nayo 3g only kwa build ya nyuma yake.mkuu chief mimi nina hii build ya windows 10 lakini sina option ya 3g only au ni mpaka ile latest build inayoishia na .36?
yap simu zote za wp8 zinapata windows 10.Thanks, Lumia 520 itapata update ya WP 10 kweli.?
Na vipi risk ya kuflash hiyo firmware manual maana ukiweka hizo rom za vietnam itafanya kazi kwa mazingira ya hapa kwetu.?
Una link ya procedure ya jinsi ya kuflash na kuweka new rom.?
yap simu zote za wp8 zinapata windows 10.
tutorial ya kuflash
Tutorial | Lumia devices flashing
kuhusu firmware
[How to] Force/ Lock 3G only on Windows Phone 8.1 Preview for Developers
Rom ni hizo hizo sidhani kama kuna utofauti na tool zinazotumika ni official za microsoft hivyo zina uhakika. nimshaflash simu yake kama mara 3 au 4 hivi bila tatizo.Vipi ushawahi kuijaribu kuinstall hizo roms.? Je Kuna lags/bugs zozote zile ambazo zipo ukiweka hizo rom za vietnam kwa hapa TZ
Details za os yangu ni hizo. Je naweza fanya installation ya vietnam rom na ikakubali kaa.?
Details za simu yangu ni hiziRom ni hizo hizo sidhani kama kuna utofauti na tool zinazotumika ni official za microsoft hivyo zina uhakika. nimshaflash simu yake kama mara 3 au 4 hivi bila tatizo.
simu yoyote unaweza fanyia installation just ujue tu aina ya simu na rom
nenda extra and info ni rm ngapi? cheki na hapa
[Tutorial] - Set Lumia Phones to 3G Only Mode / Developer Unlock without SDK 8.0 on 32bit / 64bit OS - Windows Central Forums
yap ni rm 914 cheki link ya post ya hapo juu utaiona rm914