Msaada: Lumia 900

Msaada: Lumia 900

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
644
Ni used na unlocked toka usa. Inasumbua sana kwenye internet. Mpaka ni restart ndo inakamata na ikikaa muda inagoma hadi ni restart tena.
Tatizo ni nini? Natumia mtandao wa airtel
 
Nenda pale Midcom mikochen utamkuta muhindi 1 atakusaidia shida zako zote za hiyo simu tena bure kama gains shida ya hardware. Ata upgrade Kwenda window 8.1
 
Nenda pale Midcom mikochen utamkuta muhindi 1 atakusaidia shida zako zote za hiyo simu tena bure kama gains shida ya hardware. Ata upgrade Kwenda window 8.1
Kweli mkuu? Hii windows 7 inaweza kuwa upgraded windows 8? Mi najua haiwezekani. Simu za windows 7 huwezi kua upgrade kwenda windows 8
 
Back
Top Bottom