kussy
JF-Expert Member
- Jun 15, 2010
- 408
- 124
Wadau naomba msaada, nina simu ya lumia 520 ilkuwa inagoma kudownload au kufanya updates, nikareset simu shida iliyopo imefuta kila kitu na haitaki kuactivate internet. Nifanyeje natumia line ya airtel, naweza piga au pokea simu na sms shida ni internet.