Msaada lodge/gesti nzuri Tanga Mjini

Msaada lodge/gesti nzuri Tanga Mjini

Pentagon Palace kwa usalama, parking, usafi na ubora wa vyumba wako vizuri zaidi na pametulia. Ila ukipenda sehemu ambako unaweza kujichanganya zaidi na watu kwa vyakula, vinywaji na "mambo mengine" Mtendele, Nyinda Executive 1 & 2, Macarious na Dolphin pote huko patakufaa. Na bei zao naona ziko ndani ya budget yako.

Kwa ufupi aende Chuda ndipo kuna Guest houses nyingi kiasi kwamba atachagua mwenyewe... Mie nilidhani ana mkwanja unaokaribia Laki kwa siku ili nimkaribishe Sahare kwenye maraha ndani ya Tanga Beach Resort.

Ila namshauri awasiliane na Katibu Mwanyasi kwa guidance zaidi!
 
Last edited by a moderator:
Mac?rious iko mitaa ya chuda iko vizuri... Mazingira safi.. Na sifa zote ulizotaja.. Bei 35000.
 
Sijakuelewa Mkuu.
Nimesema ya kwaminchi ni elfu arobaini na tano pale kwa mkuu wa wilaya masiwani zipo mbili moja wana bar huwa panajaa watu wakati wa Moira nyingine ipo pembeni yake ndio ambayo ni thelathini na tano ipo powa!
 
Asante kiongozi kwa maelezo
 
He He g like to GGG last place llhhk xhfnfhgg
F know From you n b I am jfhhhn
 
Pentagon Palace kwa usalama, parking, usafi na ubora wa vyumba wako vizuri zaidi na pametulia. Ila ukipenda sehemu ambako unaweza kujichanganya zaidi na watu kwa vyakula, vinywaji na "mambo mengine" Mtendele, Nyinda Executive 1 & 2, Macarious na Dolphin pote huko patakufaa. Na bei zao naona ziko ndani ya budget yako.

Ahsante mkuu,nililala ocea sea view,bei elfu 30,usafi wanajitahidi,ac yakutosha kabisa.
Ni pa zamani ila wamejitahidi kupakarabati.
Breakfast pia ipo.
 
Nimeend Nyinda mida ya saa saba mchana nikaagiza kinana bila mafanikioa
Kumbe mikoani mchana hawauzi mpaka saa tisa mchana!!!
 
Wakuu nimepita Mtendele Hotel.

Huduma zilizomo.
Delux room (chumba na sebule)
Fridge ndogo,ac na tv.
Mwanamke (Unatoa vigezo vyako unavyovitaja) 24hrs.

Gharama.
Tsh 120,000/=

Hii ndio Tanga bwana.
 
Wakuu nimepita Mtendele Hotel.

Huduma zilizomo.
Delux room (chumba na sebule)
Fridge ndogo,ac na tv.
Mwanamke (Unatoa vigezo vyako unavyovitaja) 24hrs.

Gharama.
Tsh 120,000/=

Hii ndio Tanga bwana.

Duuu hiyo 120k huduma ya saa 24 inclusive?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom