donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,138
Jaribu hizo mkuuHabari wakuu,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, wengine kutokana na harakati zetu muda mwingine tunakosa wakati wa kukaa kwenye TV kuangalia mechi hivyo naomba msaada kwa anayefahamu sites ambazo naweza Nikafanya live streaming ya world cup matches for free. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
Mkuuu naomba hii link tenaTumia hii app
Bando za mawazo chagua link za sd na bando nzuri tumia HD.
Pia link zinakuwepo mda wa mechi tu.
Mbona ipo mkuu? Ni drive yangu.Mkuuu naomba hii link tena
https://drive.google.com/file/d/1h0X_v9ovF2ytM3ODlZK8Jf9tsr7PDC5Z/view?usp=drivesdk
Nipo hapa naangalia sasa kupitia hiyo ya piliJaribu hizo mkuu
كورة لايف | koora live | بث مباشر مباريات اليوم kora live
كورة لايف koora live مشاهدة مباريات اليوم بث مباشر بدون تقطيع عبر موقع كوره لايف kora liveyalla.live-kooora-tv.com