Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
Mimi sio mjuvi wa simu za iPhone. Ila kwasasa nataka nijaribu kuzitumia. Ipi ni toleo zuri katika mfululizo wa matoleo ya iPhone 6?
iPhone 6 plain
iPhone 6s
iPhone 6plus
Na vipi ubora wa betri zao? Naombeni mnijuze!
iPhone 6 plain
iPhone 6s
iPhone 6plus
Na vipi ubora wa betri zao? Naombeni mnijuze!