Msaada Link ya porn ya Rihana inatesa watu Facebook

Hatari sana sio kitu cha kugusa hicho ukiona me nimefuta kbs!
 
Ni very simple kutoa hii. Ni kwamba unapoclick ile link na Antivirus yako haina uwezo wakuiblock an extension inakuwa planted kwenye browser yako wengi waathirika wa hii wanaotumia mozilla firefox ok hivi ndivyo unaitoa iyo bug.

Go to Tools - > Addons ->
Extensions – find
and remove the add-on ambayo imekuwa labed kitu flani Youtube au Youtube kitu flan mfano:
"YouTube Premium", "dvtez Youtube", n.k just click unistall delete au remove inategemea na browser version yako then restart Mozilla, sasa delete the posts chafu zote and ur gud to go hautaona uchafu huo tena BUT zingatia hili get a more secure antivirus na hakikisha unaiupdate atleast twice a month hapo hautakumbwa na tatizo kama hili tena.
now

sasa natumia simu, fire fox itoke wapi mkuu???????
 
kama hutoifungua itafanya lolote lile?
mm ninayo antivirus ambayo ipo full apdate. mbona imeingia? au nikiifungua ndio itakamatwa na antivirus?
 
Ni very simple kutoa hii. Ni kwamba unapoclick ile link na Antivirus yako haina uwezo wakuiblock an extension inakuwa planted kwenye browser yako wengi waathirika wa hii wanaotumia mozilla firefox ok hivi ndivyo unaitoa iyo bug.

Go to Tools - > Addons ->
Extensions – find
and remove the add-on ambayo imekuwa labed kitu flani Youtube au Youtube kitu flan mfano:
"YouTube Premium", "dvtez Youtube", n.k just click unistall delete au remove inategemea na browser version yako then restart Mozilla, sasa delete the posts chafu zote and ur gud to go hautaona uchafu huo tena BUT zingatia hili get a more secure antivirus na hakikisha unaiupdate atleast twice a month hapo hautakumbwa na tatizo kama hili tena.
now

repeat again.....
hiyo tools ni ya kwenye nini????
ya compyuter ama mozila????? na inapatikana sehem gani?????
manake hata kwenye mozilla sijaweza kuiona
 
Kwenye mozilla angalia Toolbar above addressbar juu utaiona tools BUT kama iyo toolbar haionekani click ALT kwny ur keyboard na itakuwa visible na utaclick Tools. Then endeleza the above procedures.
 
Back
Top Bottom