Msaada Link ya Gb whatsapp latest vision

Naona version imechange tena. Kama kuna mwenye latest version please tupiamo
 
Nenda kwenye Gb setting then click "updates" then click " check updates" ,itakuletea hiyo link now ni V 5.30
 
Kuna tofauti gani kati ya GB Whatsapp na hii ya kawaida?
Na je ipi nzuri zaid?
Tofauti ipo kubwa whtsapp ya kawaida kwa sasa uwez eka status, na kuona status ya mwenzio na ya Gb unaeza fanya hayo yote na bado una unaweza kuzitumia zote kwa simu 1
We fanya kama una download uone manjonjo yake
 
Asante mkuu. Ngoja nijaribu. Inakubali kila simu au mpaka iwe rooted?
 
Nashindwa kuapdate GB WhatsApp . msaada please
 
Mpaka uwe na application ya wasap ndo uweze kutumia hii GBwasap? Na haina virus?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…