Msaada: Line ya kawaida kuwa ya chuo

Msaada: Line ya kawaida kuwa ya chuo

Utaratibu wa vodacom ili uwe mnufaika wa bundle za chuo ni kwamba lazima uwe na kitambulisho cha chuo ,unaenda voda shop yeyote ile wanachukua details za iyo line uliyonayo especially ni number tu
Zen wanakuambia after one week inakua ishaingizwa kwenye system na unaweza tumia hizo vifurushi.

Nb:
Voda hawauzi line za chuo kama ilivyo kwa mitandao mingine
 
Huyu jamaa anazingua, mbona simwelewi
 
inabid laini yako kwanza iwe form six then ipeleke necta wakupe barua then chagua chuo chochote hapa mjini fanya admission then chukua barua kwa dean peleka kampuni ya simu .
 
Ingiza code zifuataz
TIGO *149*05# AU*149*49#
HALOTEL *149*63#
AIRTEL *149*44#
 
Back
Top Bottom