Msaada: Line ya kawaida kuwa ya chuo

Msaada: Line ya kawaida kuwa ya chuo

mkal8

Member
Joined
Aug 25, 2017
Posts
45
Reaction score
35
Kama kichwa kinavyosema Mweny ujuzi wa kubadili line(voda) kuwa ya chuo naomba anisaidie
 
Mi sina kitambulisho cha chuo ila nataka laini yangu iwe ya chuo nina 10 alfu hapa
 
Sijajua mpo mkoa gani ila Dar wanapita freelancers wanaoweza kushughulika na hilo swala.

Kwa uzoefu wa mtandao tofauti, nahisi ni rahisi kuipata laini mpya ya chuo kuliko kuitengeneza uliyonayo.
Wale wango sana
 
Nenda pale vodacom shop karibia na station, nenda na ID ya chuo, watatoa copy kitambulisho cha chuo kisha utandika hiyo namba yako, ndani ya wiki moja inakuwa tayari.
 
Mnicheck kupitia 0763545311 niwasaidie maana PM zinagoma
 
Hii una fanya mwenyewe bila shida... Wame rahisisha kwa ßasa voda...
 
Unatafuta slope
Kuna jamaa tulimkutaga akiwa form six alikuwa slope huyo hatari, alipomaliza na sisi tukaingia form six basi alikuwa amerithisha maslope wawili, basi wakati tunasubiri matokeo mwaka huu mwezi wa sita slope mmoja akaja na habari za paid ads za eazymoney kaniforce nijiregist ili apate referral apate hela ya bure fala kweli yule.
 
Back
Top Bottom