HISTAMINE
JF-Expert Member
- Nov 26, 2014
- 336
- 755
Leo wakati naangalia mechi kati ya Aston villa na Chelsea, nikapata mihemko ya mpira nikadunda ngumi kitandani pembeni yangu, kumbe! nilikuwa nimeweka pc sikuiona, matokeo yake imevunjika screen ndani kwa ndani, rangi zimetawanyika, imepata kama kifafa hivi- maandishi yanacheza cheza.
Wapi ntaweza kubadili screen ya pc yangu: LENOVO IDEAPAD110, screen size kati ya inch 15.6 hadi 17 hivi..sina uhakika
naishi pembezoni mwa mkoa wa Mwanza
Wapi ntaweza kubadili screen ya pc yangu: LENOVO IDEAPAD110, screen size kati ya inch 15.6 hadi 17 hivi..sina uhakika
naishi pembezoni mwa mkoa wa Mwanza