Msaada laptop yangu yenye vista iko very slow

bitimkongwe

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
7,285
6,675
Tafadhali naomba msaada kwa wataalamu wahusika.

Nina laptop yangu ni hp nimeinunua kama miaka miwili nyuma lakini huwa siitumii sana.

Operating system in windows vista na program za microsoft (word, excel) ni za 2007. Inayo norton antivirus ambayo ni up to date.

Hivi karibuni nimenotice kwamba iko veeeeeery slow, yaani utasubiri mpaka uchoke ndiyo uweze kufungua ms word or excel.

Vile vile ukitaka kudownload attachment kutoka kwenye email inakupa error message na huwezi kudownload.

Naomba wataalamu munisaidie maana naipenda sana laptop yangu hasa keyboard yake iko safi kabisa.
 
Weka sifa za (specifications) kompyuta yako ndio tuweze kukusaidia.
Mfano: OS TYPE, RAM, SPEED, PROCESSOR TYPE
 
Laptop yangu inazo specifications zifuatazo:

Type: Hewlett Packard
Operating System: Vista Home Premium
System type 64-bit OS
Processor speed: Intel(R) Core(TM) Duo CPU P7350 @2.00 GHz
RAM 4GB
NVIDIA GeForece 9300 GS
Total Size 288 GB free space 211GB
 
:smile-big: msaada kutoka kwa edson kennedy aka chizicomputer .windows yako ina mda tokea umeitumia kwa hiyo kuna usajili ambao kilasiku una fanya kwenye kompyuta yako ambao kama una fanya mambo mengi sana una install sana software na graphics kwahiyo cha kufanya download cclean au wa siliana kwa msaada zaidi 0712484995
 
Computer yako inaweza kua slow kutokana na vitu ambavyo ume install kwenye computer yako, bila ya kujua vina run at back-ground. Unapowasha computer vyote vinaanza pia unapozima vinachelewesha kuzima, unaweza kutumia CCleaner kama ulivyoshauriwa inapatikana free, ukiwa na knowledge au tuseme utundu wa computer unaweza kurekebisha hilo. Unatakiwa kuondoa vitu visivyo lazima katika start-up ya computer yako. ** Kua muangalifu jua unaloloifanya!!!
 
Laptop yangu inazo specifications zifuatazo:

Type: Hewlett Packard
Operating System: Vista Home Premium
System type 64-bit OS
Processor speed: Intel(R) Core(TM) Duo CPU P7350 @2.00 GHz
RAM 4GB
NVIDIA GeForece 9300 GS
Total Size 288 GB free space 211GB

kapasky & norton ni walewale ondoa na tumia Microsoft security essential download hapa
 
Asanteni sana wadau kwa msaada wenu.

Sasa mimi ni mtumiaji mzuri wa computer lakini mambo ya maprogram niko zero.

How do I download cclean au nakwenda kwenye google na kuitafuta tu?

Naomba musichoke kutusaidia sisi wengine ni wazee kidogo tunajua kudonoa tu na haya mambo ya maprogram yanataka vijana.
 
i reccomend tumia e set anti virus ni nzuri...na pia cyo nzito..hiyo pc yakoo iko specification nzurii,haitakiwi kwenda slow unless iwe kuna virus or OS problem
 
Thanks, hii nimefanikiwa na hii ya recovery jee?

Sasa hivi laptop yangu inaonyesha kitu kama hivi:

Warning
2239 outstanding PC Errors
Rescan
Repair now
These errors were found in an automated scan of your PC

Halafu wanataka ninunue hiyo program ya recovery kwa kutumia credit card. Ila hapo nimeona hii recuva sijui itaweza kurekebisha hiyo error?

Najaribu kuidownload naona haikubali.
 
Jamani wataalamu mbona suali langu hamukunijibu?

Mwenzenu laptop yangu nimenunua $1200 saa hizi ningepata kula kuku wengi na chips kama ningeamua otherwise!
 
Upgrade Memory rafiki....nilikuwa na tatizo hilo nilihangaika sana ila baada ya upgrade iko speed ya rocket. Pia hakikisha hakuna hiden antivirus programs. Kama una antivirus hakikisha ni moja na zile ambazo zime expire zimeondolewa kabisa.....Punguza file zisizo za lazima na hasa zenye images....
Kila la heri
 
Tembelea fundi wa karibu unayemfahamu, kifupi VISTA NI KIMEO, cha kufanya ni kupiga chini VISTA, either hurudi kwenye XP au huende kwenye WINDOWS 7 kwani ni kama vista na nibomba, kwa sasa mimi natumia WINDOW 7 na aina tabu.
 
Kwa kweli sijui hebu angalia post yangu namba 8 maana sioni taarifa nyengine yo yote nyengine.

Ila ni hivi compact vya siku hizi ambavyo screen yake ni ndogo.
 
Computer yako kua slow imesababishwa na back ground programs ambazo zina run bila wewe kujua. Hii inatokea unapo download/install programs. Kutokana na specifications za computer yako ipo reasonable fast, sio sababu ya Vista wala upgrade yoyote. Tafuta mtu mwenye average knowledge ya computer/au fundi aweze kuondoa hizo start-up program zisizo na ulazima. Achana na web scanners zinazokuambia unahitaji kunua software, hizo ni biashara tu; waweza tumbukia kwenye virus pia. Nilikuambia tumia pia CCleaner iwapo unajua kuitumia itakusaidia. Tahadhari kama knowledge yako ya computer ni ndogo basi nakushauri tafuta mtu/fundi anaejua nini anafanya. Usitegemee kila kitu cha kuambiwa kitasaidia, ushauri mwengine utakuangamiza zaidi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom